Toke toka

Author: h | 2025-04-24

★★★★☆ (4.4 / 1458 reviews)

extension disabler

In this case the name literally means The son of Toke Toke being a medieval personal name. In the Domesday Book of 1086 this first name was more generally rendered as Toka, hence this Pershkrimi toke ne shitje - mjull bathore /tirane shitet 2800 m2 toke ne mjull bathore / tirane. toka ndodhet prane rethit teg. cmimi 200 euro/ m2 Date: Kontakt

Download sandboxie plus 1.11.3 (64 bit)

Amazon.com: Click A Toke

Toke Makinwa Gives Her Honest Review on “The Real Housewives of Lagos” | Toke Moments BN TV Toke Makinwa Gives Her Honest Review on “The Real Housewives of Lagos” | Toke Moments Toke Makinwa is back with another juicy episode of “Toke Moments“, and in this episode, she gives her honest opinion of the cast of the most anticipated show of the moment “The Real Housewives of Lagos“.In the description on her YouTube channel, she wrote:Guyssssssssss, I have yet another review for you guys this week, I am sure you all have heard that the real housewives ion Lagos is coming, today on TokeMoments let’s talk about the 6 cast members and who you think will bring what. I must admit I did not se this selection of cast members coming but after my initial shock, I think it’s a good thing the show makers decided to do this. If you are within Africa and the UK, the show launches on the 8th of April, go to www.showmax.com, download and subscribe so we gist about the show. who is your favourite so far? What do you think about the show coming to Lagos?Watch the vlog below: The best Nigerian and African video content from around the web specially curated for YOU! In this case the name literally means The son of Toke Toke being a medieval personal name. In the Domesday Book of 1086 this first name was more generally rendered as Toka, hence this Au "nyuma sasa ndugu!" Wanyama wote, hadi wadogo kabisa walishiriki uvunaji na kukusanya nyasi. Hata bata na kuku walifanya kazi siku nzima juani. Walibeba nyasi ndogondogo kwa midomo yao. Walitumia muda pungufu kwa siku mbili ya muda waliozoea kutumia bwana Jones na watu wake. Pia yalikuwa ni mavuno makubwa kuliko yote katika historia ya shamba. Hakukuwa na upotevu wowote sababu bata na kuku waliokota nyasi zote, pia hakukuwa na mnyama aliyeiba zaidi ya kula kidogo tu. Majira yote ya joto kazi ziliendelea bila kukoma, na wanyama walikuwa na furaha sana. Kila mlo ulikuwa ni wenye kuburudisha, chakula chao na matunda ya kazi yao, si chakula cha kugawiwa na bwana mwenye kinyongo. Sasa baada ya binadamu mnyonyaji kuondoka, kulikuwa na chakula cha kutosha kila mmoja. Pia muda wa kupumzika ulikuwa mwingi zaidi. Lakini kazi yao haikuwa rahisi, na sababu ya kukosa uzoefu walikutana na vikwazo vingi. Mfano; walipokuwa wakipukuchua mahindi iliwabidi wayapukuchue kizamani(kwa kukakanyaga na kuyapiga) na kupepeta kwa kupuliza na midomo yao. Lakini akili ya nguruwe na nguvu za Boxer zilifanya yote hayo yawezekane. Boxer alikubalika na kusifiwa na kila mnyama. Toka enzi za bwana Jones alikuwa ni mfanyakazi mwenye bidii, lakini sasa alifanya kazi kama vile ni farasi watatu ndani ya mmoja. Kuna siku ambazo kazi zote za shamba zilimtegemea yeye. Toka asubuhi hadi jioni alikuwa akivuta hiki au kusukuma kile. Muda wote alikuwepo sehemu ambapo kazi ilikuwa ngumu zaidi. Alikuwa amemuambia jogoo mmoja awe anamuamsha nusu saa kabla ya muda wa kawaida. Hilo ni ili ajitolee kufanya kazi kwenye sehemu zilizohitaji msaada kabla ya siku ya kazi kuanza. Jibu lake kwa matatizo yote na vikwazo vyote lilikuwa, "Nitafanya kazi kwa bidii!" Hiyo ndiyo ilikuwa kauli mbiu yake. Lakini si yeye tu, wanyama karibu wote walifanya kazi kwa bidii kadiri ya uwezo wao. Mfano, kuku na bata waliokoa magunia matano ya mahindi wakati wa mavuno kwa kuokota kila punje. Hakuna aliyekuwa akiiba wala aliyekuwa akinung'unika juu ya gawio lake. Ugomvi, kuumizana na wivu, vitu vikivyozoeleka wakati wa bwana Jones vilikuwa kama vimetoweka. Hakuna aliyetegea kazi isipokuwa wachache tu. Moli! Moli alikuwa anachelewa sana kuamka na alikuwa na tabia ya

Comments

User4809

Toke Makinwa Gives Her Honest Review on “The Real Housewives of Lagos” | Toke Moments BN TV Toke Makinwa Gives Her Honest Review on “The Real Housewives of Lagos” | Toke Moments Toke Makinwa is back with another juicy episode of “Toke Moments“, and in this episode, she gives her honest opinion of the cast of the most anticipated show of the moment “The Real Housewives of Lagos“.In the description on her YouTube channel, she wrote:Guyssssssssss, I have yet another review for you guys this week, I am sure you all have heard that the real housewives ion Lagos is coming, today on TokeMoments let’s talk about the 6 cast members and who you think will bring what. I must admit I did not se this selection of cast members coming but after my initial shock, I think it’s a good thing the show makers decided to do this. If you are within Africa and the UK, the show launches on the 8th of April, go to www.showmax.com, download and subscribe so we gist about the show. who is your favourite so far? What do you think about the show coming to Lagos?Watch the vlog below: The best Nigerian and African video content from around the web specially curated for YOU!

2025-04-19
User1032

Au "nyuma sasa ndugu!" Wanyama wote, hadi wadogo kabisa walishiriki uvunaji na kukusanya nyasi. Hata bata na kuku walifanya kazi siku nzima juani. Walibeba nyasi ndogondogo kwa midomo yao. Walitumia muda pungufu kwa siku mbili ya muda waliozoea kutumia bwana Jones na watu wake. Pia yalikuwa ni mavuno makubwa kuliko yote katika historia ya shamba. Hakukuwa na upotevu wowote sababu bata na kuku waliokota nyasi zote, pia hakukuwa na mnyama aliyeiba zaidi ya kula kidogo tu. Majira yote ya joto kazi ziliendelea bila kukoma, na wanyama walikuwa na furaha sana. Kila mlo ulikuwa ni wenye kuburudisha, chakula chao na matunda ya kazi yao, si chakula cha kugawiwa na bwana mwenye kinyongo. Sasa baada ya binadamu mnyonyaji kuondoka, kulikuwa na chakula cha kutosha kila mmoja. Pia muda wa kupumzika ulikuwa mwingi zaidi. Lakini kazi yao haikuwa rahisi, na sababu ya kukosa uzoefu walikutana na vikwazo vingi. Mfano; walipokuwa wakipukuchua mahindi iliwabidi wayapukuchue kizamani(kwa kukakanyaga na kuyapiga) na kupepeta kwa kupuliza na midomo yao. Lakini akili ya nguruwe na nguvu za Boxer zilifanya yote hayo yawezekane. Boxer alikubalika na kusifiwa na kila mnyama. Toka enzi za bwana Jones alikuwa ni mfanyakazi mwenye bidii, lakini sasa alifanya kazi kama vile ni farasi watatu ndani ya mmoja. Kuna siku ambazo kazi zote za shamba zilimtegemea yeye. Toka asubuhi hadi jioni alikuwa akivuta hiki au kusukuma kile. Muda wote alikuwepo sehemu ambapo kazi ilikuwa ngumu zaidi. Alikuwa amemuambia jogoo mmoja awe anamuamsha nusu saa kabla ya muda wa kawaida. Hilo ni ili ajitolee kufanya kazi kwenye sehemu zilizohitaji msaada kabla ya siku ya kazi kuanza. Jibu lake kwa matatizo yote na vikwazo vyote lilikuwa, "Nitafanya kazi kwa bidii!" Hiyo ndiyo ilikuwa kauli mbiu yake. Lakini si yeye tu, wanyama karibu wote walifanya kazi kwa bidii kadiri ya uwezo wao. Mfano, kuku na bata waliokoa magunia matano ya mahindi wakati wa mavuno kwa kuokota kila punje. Hakuna aliyekuwa akiiba wala aliyekuwa akinung'unika juu ya gawio lake. Ugomvi, kuumizana na wivu, vitu vikivyozoeleka wakati wa bwana Jones vilikuwa kama vimetoweka. Hakuna aliyetegea kazi isipokuwa wachache tu. Moli! Moli alikuwa anachelewa sana kuamka na alikuwa na tabia ya

2025-04-22
User4877

Kuwa walishirikiana naye katika kubomoa kinu cha upepo, na walikuwa wamekubaliana naye kumpatia shamba bwana Frederick. Waliongeza kuwa Snowball alikuwa amewaambia kuwa alikuwa ni shushushu wa bwana Jones toka zamani. Walipomaliza kukiri mbwa waliwararua makoo yao na kuwaua palepale.Baada ya hayo, Napolioni, kwa sauti ya kutisha akasema kama kuna mnyama mwingine ana jambo anataka kukiri akiri. Kuku watatu, wale walioongoza uasi juu ya mayai walipita mbele na kusema kuwa Snowball aliwatokea ndotoni na kuwashawishi waasi na wasitii amri za Napolioni. Nao pia waliuwawa. Hapo bata bukini mmoja akapita mbele na kukiri kuwa wakati wa mavuno mwaka jana aliiba mahindi na kula wakati wa usiku. Kondoo mmoja naye akaja mbele na kuungama kuwa alikuwa akikojoa kwenye dimbwi la maji ya kunywa, na alisema alishawishiwa kufanya hivyo na Snowball. Kondoo wengine wawili nao wakaungama kumuua kondoo dume mzee, kondoo aliyekuwa mfuasi muaminifu wa Napolioni. Walisema walimuua kwa kitendo chao cha kumkimbiza- kimbiza uwanjani alipokuwa na tatizo la kikohozi.Wanyama wote walioungama waliuwawa pale pale. Zoezi hilo la kinyama liliendelea hadi lundo la maiti likawa mbele ya Napolioni, na hewa yote ikawa nzito kwa harufu ya damu, harufu ambayo haikuwahi sikika tokea kufukuzwa kwa bwana Jones.Zoezi hilo lilipokwisha, wanyama wote wakaondoka kwa pamoja isipokuwa nguruwe na mbwa. Waliondoka wakiwa wameshikwa na huzuni kubwa sana. Hawakujua ni kipi kibaya zaidi, hila za wanyama wale wakishirikiana na Snowball au mauaji ya kikatili waliyotoka kuyashuhudia!Mauaji ma umwagaji damu waliouona ulikuwa mkubwa kuliko ule waliowahi kuhushuhudia nyakati za bwana Jones. Toka kuondoka kwa bwana Jones mpaka sasa, hakuna mnyama aliyemuua mnyama mwingine. Hata panya mmoja hakuuliwa! Waliongozana kwa huzuni mpaka kwenye gofu la kinu cha upepo. Wakajilaza hapo wakiwa wamejikunyata kama vile wanaona baridi na wanataka kupashana joto. Wanyama wote walikusanyika isipokuwa paka ambaye alitoweka mara tu Napolioni alipotangaza wanyama wakusanyike. Kwa muda kidogo hakuna mnyama aliyesema chochote, na ni Boxer pekee ndiye alibaki amesimama. Alikuwa akitembea huku na huku akichezesha mkia na kutoa miguno ya kushangaa, mwishowe akasema."Sielewi kabisa jambo hili. Sikutegeme mambo kama haya kutokea shambani mwetu. Itakuwa ni sisi ndiyo tuna makosa. Nafikiri nimepata tiba ya jambo hili, ni kufanya kazi kwa bidii. Kuanzia sasa

2025-04-03

Add Comment